Native Bible

Job 15:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu.

Job 15:23 in English

Job 15:23 · Berean Standard Bible

He wanders about as food for vultures; he knows the day of darkness is at hand.

Context

21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 22Hukata tamaa kuokoka gizani; amewekwa kwa ajili ya upanga. 23Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita, 25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.