Native Bible

Job 15:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi,

Job 15:25 in English

Job 15:25 · Berean Standard Bible

For he has stretched out his hand against God and has vaunted himself against the Almighty,

Context

23Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita, 25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, 26kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. 27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.