Native Bible

Job 15:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara.

Job 15:26 in English

Job 15:26 · Berean Standard Bible

rushing headlong at Him with a thick, studded shield.

Context

24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita, 25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, 26kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. 27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, 28ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.