Native Bible

Job 15:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa,

Job 15:27 in English

Job 15:27 · Berean Standard Bible

Though his face is covered with fat and his waistline bulges with flesh,

Context

25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, 26kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara. 27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa, 28ataishi katika miji ya magofu, na katika nyumba ambazo haziishi mwanadamu yeyote, nyumba zinazokuwa vifusi. 29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.