Ayubu 15:24
Job 15:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,
Job 15:24 in English
Job 15:24 · Berean Standard Bible
Distress and anguish terrify him, overwhelming him like a king poised to attack.
Context
22Hukata tamaa kuokoka gizani;
amewekwa kwa ajili ya upanga. 23Hutangatanga, akitafuta chakula;
anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu;
humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita, 25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake
na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, 26kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu
akiwa na ngao nene, iliyo imara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.