Native Bible

Job 15:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanangʼaa,

Job 15:12 in English

Job 15:12 · Berean Standard Bible

Why has your heart carried you away, and why do your eyes flash,*

Context

10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 11Je, faraja za Mungu hazikutoshi, au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? 12Kwa nini moyo wako unakudanganya, na kwa nini macho yako yanangʼaa, 13ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako? 14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.