Ayubu 15:10
Job 15:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako.
Job 15:10 in English
Job 15:10 · Berean Standard Bible
Both the gray-haired and the aged are on our side— men much older than your father.
Context
8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu?
Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 9Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi?
Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu,
watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 11Je, faraja za Mungu hazikutoshi,
au maneno yaliyosemwa kwako kwa upole si kitu? 12Kwa nini moyo wako unakudanganya,
na kwa nini macho yako yanangʼaa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.