Native Bible

Jeremiah 48:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu.

Jeremiah 48:24 in English

Jeremiah 48:24 · Berean Standard Bible

upon Kerioth, Bozrah, and all the towns of Moab, those far and near.

Context

22katika Diboni, Nebo na Beth-Diblathaimu, 23katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni, 24katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu. 25Pembe* ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema Bwana. 26“Mlevye, kwa kuwa amemdharau Bwana. Moabu na agaegae katika matapishi yake, yeye na awe kitu cha dhihaka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.