Native Bible

Jeremiah 48:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pembe* ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema Bwana.

Jeremiah 48:25 in English

Jeremiah 48:25 · Berean Standard Bible

The horn of Moab has been cut off, and his arm is broken,” declares the LORD.

Context

23katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni, 24katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu. 25Pembe* ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema Bwana. 26“Mlevye, kwa kuwa amemdharau Bwana. Moabu na agaegae katika matapishi yake, yeye na awe kitu cha dhihaka. 27Je, Israeli hakuwa kitu chako cha kudhihakiwa? Je, alikamatwa miongoni mwa wezi, kiasi cha kutikisa kichwa chako kwa dharau kila mara unapozungumza juu yake?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.