Native Bible

Jeremiah 48:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni,

Jeremiah 48:23 in English

Jeremiah 48:23 · Berean Standard Bible

upon Kiriathaim, Beth-gamul, and Beth-meon,

Context

21Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu: katika Holoni, Yahasa na Mefaathi, 22katika Diboni, Nebo na Beth-Diblathaimu, 23katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni, 24katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu. 25Pembe* ya Moabu imekatwa, mkono wake umevunjwa,” asema Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.