Yeremia 48:21
Jeremiah 48:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu: katika Holoni, Yahasa na Mefaathi,
Jeremiah 48:21 in English
Jeremiah 48:21 · Berean Standard Bible
Judgment has come upon the high plain— upon Holon, Jahzah,* and Mephaath,
Context
19Simama kando ya barabara na utazame,
wewe unayeishi Aroeri.
Muulize mwanaume anayekimbia
na mwanamke anayetoroka,
waulize, ‘Kumetokea nini?’ 20Moabu amefedheheshwa, kwa kuwa amevunjavunjwa.
Lieni kwa huzuni na kupiga kelele!
Tangazeni kando ya Arnoni
kwamba Moabu ameangamizwa. 21Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu:
katika Holoni, Yahasa na Mefaathi, 22katika Diboni, Nebo
na Beth-Diblathaimu, 23katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli
na Beth-Meoni,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.