Native Bible

Jeremiah 48:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

katika Diboni, Nebo na Beth-Diblathaimu,

Jeremiah 48:22 in English

Jeremiah 48:22 · Berean Standard Bible

upon Dibon, Nebo, and Beth-diblathaim,

Context

20Moabu amefedheheshwa, kwa kuwa amevunjavunjwa. Lieni kwa huzuni na kupiga kelele! Tangazeni kando ya Arnoni kwamba Moabu ameangamizwa. 21Hukumu imefika kwenye uwanda wa juu: katika Holoni, Yahasa na Mefaathi, 22katika Diboni, Nebo na Beth-Diblathaimu, 23katika Kiriathaimu, Beth-Gamuli na Beth-Meoni, 24katika Keriothi na Bosra; kwa miji yote ya Moabu, iliyoko mbali na karibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.