Native Bible

Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Samaria na mfalme wake wataelea kama kijiti juu ya uso wa maji.

Hosea 10:7 in English

Hosea 10:7 · Berean Standard Bible

Samaria will be carried off with her king like a twig on the surface of the water.

Context

5Watu wanaoishi Samaria huogopa kwa ajili ya sanamu ya ndama ya Beth-Aveni.* Watu wake wataiombolezea, vivyo hivyo kuhani wake wa kuabudu sanamu, wale waliokuwa wamefurahia fahari yake, kwa sababu itaondolewa kutoka kwao kwenda uhamishoni. 6Itachukuliwa kwenda Ashuru kama ushuru kwa mfalme mkuu. Efraimu atafedheheshwa; Israeli ataaibika kwa ajili ya sanamu zake za mti. 7Samaria na mfalme wake wataelea kama kijiti juu ya uso wa maji. 8Mahali pa kuabudia sanamu pa uovu* pataharibiwa: ndiyo dhambi ya Israeli. Miiba na mibaruti itaota na kufunika madhabahu zao. Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!” na vilima, “Tuangukieni!” 9“Tangu siku za Gibea, mmetenda dhambi, ee Israeli, huko ndiko mlikobaki. Je, vita havikuwapata watenda mabaya huko Gibea?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.