Mwanzo 46:23
Genesis 46:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwana wa Dani ni: Hushimu.
Genesis 46:23 in English
Genesis 46:23 · Berean Standard Bible
The son of Dan: Hushim.
Context
21Wana wa Benyamini ni:
Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi. 22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 23Mwana wa Dani ni:
Hushimu. 24Wana wa Naftali ni:
Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu. 25Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.