Native Bible

Genesis 46:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba.

Genesis 46:25 in English

Genesis 46:25 · Berean Standard Bible

These are the sons of Jacob born to Bilhah, whom Laban gave to his daughter Rachel—seven in all.

Context

23Mwana wa Dani ni: Hushimu. 24Wana wa Naftali ni: Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu. 25Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba. 26Wote waliokwenda Misri pamoja na Yakobo, waliokuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe zake, walikuwa watu sitini na sita. 27Pamoja na wana wawili waliozaliwa na Yosefu huko Misri, jumla yote ya jamaa ya Yakobo, waliokwenda Misri, walikuwa sabini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.