Mwanzo 46:24
Genesis 46:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Naftali ni: Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Genesis 46:24 in English
Genesis 46:24 · Berean Standard Bible
The sons of Naphtali: Jahzeel, Guni, Jezer, and Shillem.
Context
22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 23Mwana wa Dani ni:
Hushimu. 24Wana wa Naftali ni:
Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu. 25Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba. 26Wote waliokwenda Misri pamoja na Yakobo, waliokuwa wazao wake hasa pasipo kuhesabu wakwe zake, walikuwa watu sitini na sita.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.