Mwanzo 46:22
Genesis 46:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne.
Genesis 46:22 in English
Genesis 46:22 · Berean Standard Bible
These are the sons of Rachel born to Jacob—fourteen in all.
Context
20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 21Wana wa Benyamini ni:
Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi. 22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 23Mwana wa Dani ni:
Hushimu. 24Wana wa Naftali ni:
Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.