Native Bible

Genesis 46:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Benyamini ni: Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.

Genesis 46:21 in English

Genesis 46:21 · Berean Standard Bible

The sons of Benjamin: Bela, Becher, Ashbel, Gera, Naaman, Ehi, Rosh, Muppim, Huppim, and Ard.

Context

19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yosefu na Benyamini. 20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 21Wana wa Benyamini ni: Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi. 22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 23Mwana wa Dani ni: Hushimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.