Native Bible

Genesis 46:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yosefu na Benyamini.

Genesis 46:19 in English

Genesis 46:19 · Berean Standard Bible

The sons of Jacob’s wife Rachel: Joseph and Benjamin.

Context

17Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli. 18Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita. 19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yosefu na Benyamini. 20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 21Wana wa Benyamini ni: Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.