Mwanzo 46:18
Genesis 46:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita.
Genesis 46:18 in English
Genesis 46:18 · Berean Standard Bible
These are the sons of Jacob born to Zilpah—whom Laban gave to his daughter Leah—sixteen in all.
Context
16Wana wa Gadi ni:
Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 17Wana wa Asheri ni:
Imna, Ishva, Ishvi na Beria.
Dada yao alikuwa Sera.
Wana wa Beria ni:
Heberi na Malkieli. 18Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita. 19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni:
Yosefu na Benyamini. 20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.