Native Bible

Genesis 46:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu.

Genesis 46:20 in English

Genesis 46:20 · Berean Standard Bible

Manasseh and Ephraim were born to Joseph in the land of Egypt by Asenath daughter of Potiphera, priest of On.*

Context

18Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita. 19Wana wa Raheli mke wa Yakobo ni: Yosefu na Benyamini. 20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni,* alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 21Wana wa Benyamini ni: Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi. 22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.