Native Bible

Genesis 46:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli.

Genesis 46:16 in English

Genesis 46:16 · Berean Standard Bible

The sons of Gad: Ziphion,* Haggi, Shuni, Ezbon, Eri, Arodi,* and Areli.

Context

14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli. 15Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. 16Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 17Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli. 18Hawa ndio watoto Zilpa aliomzalia Yakobo, ambao Labani alimpa binti yake Lea; jumla yao walikuwa kumi na sita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.