Native Bible

Genesis 46:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli.

Genesis 46:14 in English

Genesis 46:14 · Berean Standard Bible

The sons of Zebulun: Sered, Elon, and Jahleel.

Context

12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli. 13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli. 15Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. 16Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.