Native Bible

Genesis 46:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli.

Genesis 46:12 in English

Genesis 46:12 · Berean Standard Bible

The sons of Judah: Er, Onan, Shelah, Perez, and Zerah; but Er and Onan died in the land of Canaan. The sons of Perez: Hezron and Hamul.

Context

10Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari. 12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli. 13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.