Native Bible

Genesis 46:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani.

Genesis 46:10 in English

Genesis 46:10 · Berean Standard Bible

The sons of Simeon: Jemuel,* Jamin, Ohad, Jachin, Zohar,* and Shaul the son of a Canaanite woman.

Context

8Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo. 9Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 10Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari. 12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.