Native Bible

Genesis 46:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi.

Genesis 46:9 in English

Genesis 46:9 · Berean Standard Bible

The sons of Reuben: Hanoch, Pallu, Hezron, and Carmi.

Context

7Akawachukua wanawe na binti zake, wajukuu wake wa kiume na wa kike, yaani uzao wake wote mpaka Misri. 8Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli (Yakobo na wazao wake), waliokwenda Misri: Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo. 9Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 10Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.