Native Bible

Genesis 46:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari.

Genesis 46:11 in English

Genesis 46:11 · Berean Standard Bible

The sons of Levi: Gershon, Kohath, and Merari.

Context

9Wana wa Reubeni ni: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. 10Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. 11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari. 12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli. 13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.