Native Bible

Genesis 46:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni.

Genesis 46:13 in English

Genesis 46:13 · Berean Standard Bible

The sons of Issachar: Tola, Puvah,* Job,* and Shimron.

Context

11Wana wa Lawi ni: Gershoni, Kohathi na Merari. 12Wana wa Yuda ni: Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). Wana wa Peresi ni: Hesroni na Hamuli. 13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli. 15Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.