Native Bible

Genesis 46:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu.

Genesis 46:15 in English

Genesis 46:15 · Berean Standard Bible

These are the sons of Leah born to Jacob in Paddan-aram,* in addition to his daughter Dinah. The total number of sons and daughters was thirty-three.

Context

13Wana wa Isakari ni: Tola, Puva, Yashubu na Shimroni. 14Wana wa Zabuloni ni: Seredi, Eloni na Yaleeli. 15Hawa ndio wana wa Lea aliomzalia Yakobo huko Padan-Aramu pamoja na binti yake Dina. Jumla ya wanawe na binti zake walikuwa thelathini na watatu. 16Wana wa Gadi ni: Sefoni, Hagi, Shuni, Esboni, Eri, Arodi na Areli. 17Wana wa Asheri ni: Imna, Ishva, Ishvi na Beria. Dada yao alikuwa Sera. Wana wa Beria ni: Heberi na Malkieli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.