Native Bible

2 Samuel 22:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu.

2 Samuel 22:19 in English

2 Samuel 22:19 · Berean Standard Bible

They confronted me in my day of calamity, but the LORD was my support.

Context

17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 19Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 21“Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.