Native Bible

2 Samuel 22:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami.

2 Samuel 22:20 in English

2 Samuel 22:20 · Berean Standard Bible

He brought me out into the open; He rescued me because He delighted in me.

Context

18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 19Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 21“Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.