Native Bible

2 Samuel 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa.

2 Samuel 22:21 in English

2 Samuel 22:21 · Berean Standard Bible

The LORD has rewarded me according to my righteousness; He has repaid me according to the cleanness of my hands.

Context

19Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 21“Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 23Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.