Native Bible

2 Samuel 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake.

2 Samuel 22:23 in English

2 Samuel 22:23 · Berean Standard Bible

For all His ordinances are before me; I have not disregarded His statutes.

Context

21“Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 23Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake. 24Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. 25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.