Native Bible

2 Samuel 22:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake.

2 Samuel 22:25 in English

2 Samuel 22:25 · Berean Standard Bible

So the LORD has repaid me according to my righteousness, according to my cleanness in His sight.*

Context

23Sheria zake zote zi mbele yangu, wala sijayaacha maagizo yake. 24Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. 25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake. 26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.