Native Bible

2 Samuel 22:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi.

2 Samuel 22:27 in English

2 Samuel 22:27 · Berean Standard Bible

to the pure You show Yourself pure, but to the crooked You show Yourself shrewd.

Context

25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake. 26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe. 29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. Bwana hulifanya giza langu kuwa mwanga.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.