Native Bible

2 Samuel 22:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia,

2 Samuel 22:26 in English

2 Samuel 22:26 · Berean Standard Bible

To the faithful You show Yourself faithful, to the blameless You show Yourself blameless;

Context

24Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi. 25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu, sawasawa na usafi wangu machoni pake. 26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.