Native Bible

2 Samuel 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe.

2 Samuel 22:28 in English

2 Samuel 22:28 · Berean Standard Bible

You save an afflicted people, but Your eyes are on the haughty to bring them down.

Context

26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu, kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia, 27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe. 29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. Bwana hulifanya giza langu kuwa mwanga. 30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.