Native Bible

2 Samuel 22:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta.

2 Samuel 22:30 in English

2 Samuel 22:30 · Berean Standard Bible

For in You I can charge an army; with my God I can scale a wall.

Context

28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe. 29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. Bwana hulifanya giza langu kuwa mwanga. 30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. 31“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake. 32Kwa maana ni nani aliye Mungu zaidi ya Bwana? Ni nani aliye Mwamba isipokuwa Mungu wetu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.