2 Samweli 22:31
2 Samuel 22:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.
2 Samuel 22:31 in English
2 Samuel 22:31 · Berean Standard Bible
As for God, His way is perfect; the word of the LORD is flawless. He is a shield to all who take refuge in Him.
Context
29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana.
Bwana hulifanya giza langu
kuwa mwanga. 30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi,
nikiwa pamoja na Mungu wangu
nitaweza kuruka ukuta. 31“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu;
neno la Bwana halina dosari.
Yeye ni ngao kwa wote
wanaokimbilia kwake. 32Kwa maana ni nani aliye Mungu
zaidi ya Bwana?
Ni nani aliye Mwamba
isipokuwa Mungu wetu? 33Mungu ndiye anivikaye nguvu
na kufanya njia yangu kuwa kamilifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.