Native Bible

2 Samuel 22:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. Bwana hulifanya giza langu kuwa mwanga.

2 Samuel 22:29 in English

2 Samuel 22:29 · Berean Standard Bible

For You, O LORD, are my lamp; the LORD lights up my darkness.

Context

27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu, lakini kwa aliyepotoka unajionyesha kuwa mkaidi. 28Wewe huwaokoa wanyenyekevu, lakini macho yako ni juu ya wenye kiburi ili uwashushe. 29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana. Bwana hulifanya giza langu kuwa mwanga. 30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. 31“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu; neno la Bwana halina dosari. Yeye ni ngao kwa wote wanaokimbilia kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.