2 Samweli 22:24
2 Samuel 22:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimekuwa sina hatia mbele zake, nami nimejilinda nisitende dhambi.
2 Samuel 22:24 in English
2 Samuel 22:24 · Berean Standard Bible
And I have been blameless before Him and kept myself from iniquity.
Context
22Kwa maana nimezishika njia za Bwana;
sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 23Sheria zake zote zi mbele yangu,
wala sijayaacha maagizo yake. 24Nimekuwa sina hatia mbele zake,
nami nimejilinda nisitende dhambi. 25Bwana amenilipa sawasawa na uadilifu wangu,
sawasawa na usafi wangu machoni pake. 26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu,
kwa asiye na hatia unajionyesha kutokuwa na hatia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.