Native Bible

2 Samuel 22:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi.

2 Samuel 22:18 in English

2 Samuel 22:18 · Berean Standard Bible

He rescued me from my powerful enemy, from foes too mighty for me.

Context

16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake Bwana, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 19Walinikabili siku ya msiba wangu, lakini Bwana alikuwa msaada wangu. 20Alinileta nje mahali penye nafasi tele, akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.