Native Bible

2 Samuel 22:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake Bwana, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake.

2 Samuel 22:16 in English

2 Samuel 22:16 · Berean Standard Bible

The channels of the sea appeared, and the foundations of the world were exposed at the rebuke of the LORD, at the blast of the breath of His nostrils.

Context

14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 15Aliipiga mishale na kutawanya adui, umeme wa radi na kuwafukuza. 16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake Bwana, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi, kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.