Native Bible

2 Samuel 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.

2 Samuel 22:14 in English

2 Samuel 22:14 · Berean Standard Bible

The LORD thundered from heaven; the voice of the Most High resounded.

Context

12Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani. 13Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi. 14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 15Aliipiga mishale na kutawanya adui, umeme wa radi na kuwafukuza. 16Mabonde ya bahari yalifunuliwa, na misingi ya dunia ikawa wazi kwa kukaripia kwake Bwana, kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.