2 Samweli 22:15
2 Samuel 22:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliipiga mishale na kutawanya adui, umeme wa radi na kuwafukuza.
2 Samuel 22:15 in English
2 Samuel 22:15 · Berean Standard Bible
He shot His arrows and scattered the foes; He hurled lightning and routed them.
Context
13Kutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi. 14Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 15Aliipiga mishale na kutawanya adui,
umeme wa radi na kuwafukuza. 16Mabonde ya bahari yalifunuliwa,
na misingi ya dunia ikawa wazi
kwa kukaripia kwake Bwana,
kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika;
alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.