2 Samweli 22:13
2 Samuel 22:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
2 Samuel 22:13 in English
2 Samuel 22:13 · Berean Standard Bible
From the brightness of His presence coals of fire * blazed forth.
Context
11Alipanda juu ya kerubi akaruka,
akapaa juu kwa mbawa za upepo. 12Alifanya giza hema lake la kujifunika:
mawingu meusi ya mvua ya angani. 13Kutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi. 14Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 15Aliipiga mishale na kutawanya adui,
umeme wa radi na kuwafukuza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.