2 Samweli 22:17
2 Samuel 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika; alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu.
2 Samuel 22:17 in English
2 Samuel 22:17 · Berean Standard Bible
He reached down from on high and took hold of me; He drew me out of deep waters.
Context
15Aliipiga mishale na kutawanya adui,
umeme wa radi na kuwafukuza. 16Mabonde ya bahari yalifunuliwa,
na misingi ya dunia ikawa wazi
kwa kukaripia kwake Bwana,
kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwake. 17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika;
alinitoa kutoka kilindi cha maji makuu. 18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi,
kutoka adui zangu waliokuwa na nguvu nyingi kuliko mimi. 19Walinikabili siku ya msiba wangu,
lakini Bwana alikuwa msaada wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.