Wimbo 1:4
Song of Songs 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake.
Song of Songs 1:4 in English
Song of Songs 1:4 · Berean Standard Bible
Take me away with you—let us hurry! May the king bring me to his chambers.
Context
2Unibusu kwa busu la kinywa chako,
kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 3Manukato yako yananukia vizuri,
jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa.
Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 4Nichukue twende nawe, na tufanye haraka!
Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake. 5(4) Tunakushangilia na kukufurahia,
tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai. 6(4) Tazama jinsi ilivyo bora wakupende!
(5) Mimi ni mweusi, lakini napendeza,
enyi binti za Yerusalemu,
mweusi kama mahema ya Kedari,
kama mapazia ya hema la Solomoni.
(6) Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi,
kwa sababu nimefanywa mweusi na jua.
Wana wa mama yangu walinikasirikia
na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu.
Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.