Native Bible

Song of Songs 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Manukato yako yananukia vizuri, jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. Ndiyo sababu wanawali wanakupenda!

Song of Songs 1:3 in English

Song of Songs 1:3 · Berean Standard Bible

The fragrance of your perfume is pleasing; your name is like perfume poured out. No wonder the maidens adore you.

Context

1Wimbo ulio bora wa Solomoni. 2Unibusu kwa busu la kinywa chako, kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 3Manukato yako yananukia vizuri, jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 4Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake. 5(4) Tunakushangilia na kukufurahia, tutasifu upendo wako zaidi kuliko divai.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.