Native Bible

Song of Songs 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unibusu kwa busu la kinywa chako, kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai.

Song of Songs 1:2 in English

Song of Songs 1:2 · Berean Standard Bible

Let him kiss me with the kisses of his mouth! For your love is more delightful than wine.

Context

1Wimbo ulio bora wa Solomoni. 2Unibusu kwa busu la kinywa chako, kwa maana upendo wako unafurahisha kuliko divai. 3Manukato yako yananukia vizuri, jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 4Nichukue twende nawe, na tufanye haraka! Mfalme na anilete ndani ya vyumba vyake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.